Naambiwa basi la Taqwa na Lori ndio vimehusika kwenye hii ajali Mikumi baada ya basi kujaribu kulipita lori ambapo kwenye hii ajali watatu wamefariki ambao ni Wanawake wawili na Mwanaume ni mmoja.