Pia wamesema kuwepo kwa kodi nyingi imekuwa chanzo cha maisha kuwa magumu na kuitaka Serikali kuweka afueni katika mambo muhimu ya kijamii ikiwa na pamoja na vifaa vya shule na huduma za kijamii.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao walisema wafanyabiashara wengi wamekuwa wakiuza bidhaa zao kwa bei ya juu kutokana na kuelemewa na kodi nyingi.
www.hakileo.blogspot.com
