Posho Bunge la Katiba yaundiwa tume Yumo Freeman Mbowe, Lukuvi na Kimiti Dk. Slaa asema ni mkakati wa CCM kupoza mjadala wa Katiba

AKATA la nyongeza ya posho limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kuunda kamati ya watu sita kulishughulikia.
Kificho alisema kamati hiyo italishughulikia jambo hilo na kuishauri serikali namna bora ya kulifanya ili wajumbe waifanye kazi kwa ufanisi zaidi.

Juzi wajumbe wa Bunge hilo walikuwa wakipinga kiwango cha posho ya sh 300,000 wanazopewa kwa siku, wakitaka walipwe sh 500,000 au sh 700,000 kwa madai kuwa gharama za maisha mjini Dodoma zimepanda.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company