RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LEO FEBRUARI 6, 2014 JIJINI DAR ES SALAAM


Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa wakiomba dua katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kabla ya kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam


Kutoka kushoto Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe, Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Sheria na Katiba Dr Asharose Migiro na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mh Seif Shariff Hamad

Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa na Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa.


Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akimsikiliza Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza la Katiba

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Mh Tundu Lissu akipeana mkono na Rais Jakaya Kikwete.


Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa CUF Mh Seif Shariff Hamad na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company