MAN CITY YAUA 3-1,MATUMAINI YA ONGEZKA, SASA FAINALI NI LIVERPOOL NA CHELSEA

MANCHESTER City imeweka hai matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza mabao 3-1 West Bromwich Albion usiku huu Uwanja wa Etihad.
Ushindi huo, unaifanya City itimize pointi 74 baada ya kucheza mechi 34 na inaendelea kushikilia nafasi ya tatu kwenye msimamo nyuma ya Chelsea pointi 75 za mechi 35 na Liverpool pointi 80 za mechi 35.

Mabao ya City usiku huu yamefungwa na Zabaleta dakika ya tatu, Aguero dakika ya 10 na Demichelis dakika ya 36,wakati la West Brom limefungwa na Dorrans dakika ya 16.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company