






Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Iringa mjini na mjumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mch. Peter Msigwa (Chadema) akibadilishana mawazo na wakazi wa Iringa mjini jana mchana kuhusu kinachoendelea bungeni mjini Dodoma. (Picha na Friday Simbaya)