
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Serikali za mitaa (local Governments) wa Angola baada ya kupokea salamu za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola,Mh. Jose Eduardo Dos Santos ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha sherehe hizo(tarehe 26Apili 2014).

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Serikali za mitaa (local Governments) wa Angola,Mhe. Bornito De Sousa wakati akizipitia salamu hizo za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos uliowasilishwa kwake na Waziri huyo,ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha sherehe hizo(tarehe 26Apili 2014).(picha na Freddy Maro)