
Anaingia kazini: Kocha mchezaji, Ryan Giggs akiingia kumpokea kinda Tom Lawrence katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Hull City, ambao timu yake ilishinda mabao 3-1

Mtaalamu: Kocha mchezaji, Ryan Giggs akicheza jana
Kocha Giggs akilalamikia kunyimwa penalti na refa, baada ya shuti lake kuzuiliwa kwa mkono
Kocha Giggs alianzia benchi kuiongoza timu