MKURUGENZI WA KAMPUNI YA HAKI LEO OSCAR SAMBA ACHELEA KUTANGAZA NIA YA UBUNGE ROMBO

Akizungumza na chombo hiki hii leo alasiri amesema kuwa amepaswa kufikia maamuzi hayo baada ya utaratibu uliowekwa na chama ya kwamba kila jimbo lenye mbunge wa chama ambacho anatarajia kugombania nacho inawapasa kutangaza nia mara baada ya kuvunjwa kwa bunge.
   Kwa mujibu wa raiba bunge lanatarajiwa kuvunjwa mwezi wa 6 mwaka huu.
Jimbo hilo la Rombo lilopo mkoani Kilimanjaro kwa sasa linaongozwa na Mbunge Joseph Thelathini.Akiwa ni mtoto wa Mzee Romani Thelathi alikuwa Diwani wa kata ya Makiidi kwa tiketi ya chama cha CCM na kupoteza maisha mwaka 2012.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company