Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Finland Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo

Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.(P.T)

Kikwete akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball
Kikwete akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE

Kikwete akitembelea bandari ya Helsinki
Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto

PICHA NA IKULU