|
Pichani ni Mbunge Mtarajiwa wa jimbo la Rombo OSCAR P. SAMBA |
Tarifa hiyo ameitoa leokwe mtando wa kijamii wa Face book (Kitandazi)
NINAPENDA KUTOA TAARIFA KWA UMMA KWAMBA MWEZI UJAO NITATANGAZA NIA RASIMI YAKUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA PUNDE TUTAKAPO RUHUSIWA NA CHAMA CHETU,HV SASA NINAFANYA MAWASILIANO NA VIONGOZI WA VYAMA WA JIMBO ILI KUPATA UTARATIBU MPYA KWANI UTARATBI WA AWALI TULITAKIWA KUFANYA HVYO MWEZI UJAO MWANZONI BAADA YA BUNGE KUVUNJWA ILA SASA BUNGE LIMEONGEZEWA MUDA SASA NDO NIPO MBIONI KUTAFUTA TAARIFA SAHIHI KUHUSI HILI NA PIA KWA WAKATI HUU NINAKAMILISHA KITABU CHA SERA KATIKA JIMBO HILO.KITABU HICHO KINAITWA "ROMBO TUNAYOITAKA"