
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Wazanzibari waliofika kuwapokea mara walipowasili Maritim Hotel katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani wakiwa katika ziara ya kiserikali pamoja na ujumbe wa Viongozi mbali mbali aliofuatana nao katika ziara hiyo inajumuisha na maonesho ya Muzikiyanayojumuisha Wasanii mbali wa Nchi za Afrika na Mabara mengine ambayo hufanyika kila mwaka,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Nd,Salum Khamis Nassor mara walipowasili Maritim Hotel katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini humo,ambapo atatembelea Sehemu kadhaa za kihistoria na Kiuchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar LTD Bw.Brian Thomson wakati alipowasiliMaritim Hotel akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) wakiwa katika ziara ya Kiserikali Nchini Ujerumani pamoja na Ujumbe waliofuatana nao.

