Waandishi wa habari wa Zimbabwe wakielekea mahakamani Jumatano, kabla ya kuachiliwa kwa dhamana. |
Licha ya kuwepo mjadala wa saa tatu kutoka kwa waendesha mashtaka wa serikali, Tendai Mahwe alitoa amri Jumatano kuwa waandishi wote watatu waachiliwe kwa dhamana ya dola 100.
Foster Dongozi kutoka jumuiya ya waandishi wa habari amesema watatu hao hawakustahili kukamatwa. Waandishi hao kutoka gazeti la The Sunday Mail, walikamatwa jumatatu karibu kilomita 700 kusini magharibi mwa Harare.
CHANZO VOA SWAHILI