SERIKALI YETU NI KIDINI,WAKRITO MARUFUKU KUCHINJA.

 Waziri Wasira asisitiza,eti ni utamaduni wetu..! na kata!!!
Sina nia yakuibua udini au kuendeleza kama upo bali ukweli kuusema  ni yangu desturi,sitiririshi mashairi  bali ni kisemacho cha toka ndani ya chemba ya moyo wangu.
Ewe ulie mkristo tafadhali usikasirike na ewe mwisilamu na kuomba ulitazame hili kwa umakini na jicho la haki na usawa.

SIKU CHACHE ZILIZO PITA KULE MKONANI MWANZA WAZIRI WA WASIRA ALIKUWA NA KIKAO NA VIONGOZI WA DINI HIZI MBILI,

MADA YAO KUBWA ILILENGA KUJADILI JINSI WAKRISTO WANAVYO DAI HAKI YAO YA KUCHINJA KWENYE MABUCHANA SIO WAISILAMU TUU KAMA WALIVYO HALALISHWA.

UKIZINGATIA KWAMBA TANZANIA HAINA DINI,

cha ajabu waziri alikataa pendekezo hilo na kudai kwamba imekuwa hivyo toka awali na ni desturi yetu.
Swali kama tanzania haina dini,iweje wakristo wasiruhusiwe  kuchinja, uhalali huu unapatkana kwenye kipengele kipi cha katiba?

Kwa mujibu wa baadhi ya mashehe walisema ya kwamba kuwaruhusu wakrito kuchinja ni kuvunja umoja wa kitafa na amani ya nchi kwani waisilamu watasusa na hatimae kuanzisha mabucha yao hali itakalo lifanya taifa kuwa na mabucha ya waisilamu na wakristo.

Hoja hiyo ni dhaifu kwani huwezi kumlazimisha mtu kukubali au kuacha jambo fulani kwaajili ya imani yake na angali tunaishi katika nchi isio na dini na wala sio Jamuuri ya kiisilamu.

Kama wao hawana imani na wakristo ni nani kawaambia ya kwamba wakristo ndio wenye imani nao.?

IKUMBUKWE YA KWAMBA KUCHINJA KWAO NI IBADA NA IBADA NI IMANI, IMANI NI DINI KWA HIYO IWEJE WAO WATAKE KUABUDIWA NA WENGINE AnGALI WAO HAWATAKI WENZAO AMBAO KWAO KUCHINJA SIO IBADA WAFANYE HIVYO?

Serikali msitake kuwafanya wakristo kuamini ya kwamba sasa tunaongozwa kidi na dini nyingine ni bora kuliko nyingine nandio maana mkanisa yana chomwa kila kona.

      Naomba ni kuage na nukuu hii ya waziri STEVINI WAsira.
"umekuwa ni utamaduni wetu na hata sisi kule nyumbani kwetu ni wakristo tuanapo taka kuchinja humuita mwisilamu ili aje atusaidie"
LABULA KWAO NA SIO KWA KILA MKRISTO.

Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company