Pamoja na kukutangulizia hiyo sentensi ya kwanza hapo juu, unaambiwa pia ndio utakuwa ujio mpya na rasmi wa East Coast team huku taarifa za uhakika zikithibitisha kwamba G.K atafika mjengoni Clouds FM kwa usafiri wa helicopter so cha kufanya ni kukaa karibu na millardayo.com manake videoz na pichaz zote utazipata hapa pia kwa kujiunga na https://www.facebook.com/oscar samba
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago