MSIGWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU GERVAS KALOLO IRINGA



Mchungaji Peter Msigwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni mwenyekiti wa wilaya ya Iringa-Chadema akiweka shada la maua kaburini.



Meya wa Mji wa Iringa Mjini Amani Mwawindi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa kada wa Chadema Gervas Kalolo aliyezikwa makaburi ya Mtwivilla Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni.



Ndugu wa marehemu wakiweka Mashada ya maua katika kaburi baada ya mazishi. Picha na Mnyalu.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company