Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mhandisi Makoye Luhya wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la mto Mbutu ambalo litasaidia zaidi ya watu 130,000 .Daraja hilo pia litasaidia sana wakulima wa pamba na nikiunganishi cha Tabora na Shinyanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua Daraja la Mbutu wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Katibu wa NEC Itkadi na Uenezi Nape Nnauye akisaidiana na wajenzi wa Daraja la Mbutu wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kutoka juu ya daraja la Mto Mbutu baada ya kulikagua na kuona maendeleo ya ujenzi wa daraja.Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya kuimarisha chama mkoani Tabora.