| ||
Mwana dada huyu mrembo akijiandaa kumwaga maji kwa ajili ya kufanya usafi |
Asteria akifanya adhabu ya kusafisha eleo la chuo hicho. |
Tasinia ya habari hapa nchini na kote duniani ndio inayo heshimika na kuaminika zai na hii ni kuokana na umuhimu wake.
Lakini katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji ahali ya mambo sio kwani leo mchana kamera yetu imeshuhudia baadhi ya wnafunzi wakifanya adhabu ahli inayoonesha ya kwanba kuna makosa.
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi mmoja aitwae Asteria Kimweri amekataa kutoa ushirikiano kwa madai ya kwamba chanzo cha habari kina uhuru wa kuongea au kuto kuongea.
Mwandishi wetu alitaka kujua ni kwanini wanfanya adhabu hiyo na ni mwalimu nani alie wapa iula aliendelea kutishia na kudai ya kwamba ole kwa mwandishi wetu endapo ataito habari hii.
Utoaji wa adhabu chuoni hapo imekuwa ni jambo la kawaida.
Aliebeba ndoo ni Asteria mweri aliebeba ufagio ni Joice na wanyuma ni Jackline wote ni wanafunzi wa darasa la mkomanzi |
Baada ya kutoka eneo la mbele ya ofisi sasa ameamia katika vyoo ,huyu Ndie Janet ambe pia ni mdogo wake mwalimu wa chuo hico aitwae madamu Jacline. |