|
mwanafunzi wa chuo hicho aitwae Juma akicheza mpira andokando ya uwanja huo wakati timu yake ikicheza |
Wanafunzi wa chuo cha A.J.TC wameoneha udhaifu mkubwa katika kushangilia timu yao hususani inapo kabiliwa na mashindano au michezo ya kirafiki.
Hayo yamebainishwa na mwandishi wetu wakati alipokuwa akishuhudia mchezo kati ya timu hiyo na timu ya jeshi la polisi kitengo cha kutuliza gasia hapa nchini.
Mchezo huo uliisha kwa timu hiyo ya AJTC kuambulia kipigo cha magoli mawili kwa moja 2-1.Wakati timu hiyo ikipokea matokea hayo mashabiki wake walionekana wakiendea kupiga soga bila kujali uwepo wao uwanjani.
Walikaa vikundu vikundi na kuendelea kujadili yalio yao,wachezaji hao walijikuta wakicheza kwenye uwanja wao wannyumbani waliouzoea ingawaje unamilikiwa na wapinzani wao midhili ya timu iliopo ugenini.
Kwa mujibu wa mwalimun na viongozi wa michezo chuoni hapo wamekwisha kufanya jitiada nyingi ili kuwapa hanasa mashabiki wao lakini bado hali ni tete.
|
Mwanafunzi mwingine aitwa Benedict Ngelangela akiwa katika pozi na pamba za kisharobaro wakati timu yake ikicheza |
|
Huyu ni afisa mahusiano wa chuo hico (PRO) Goodwilly akiiwa uwanjani. |
|
Wakwanza kulia ni mchezaji wa akiba Nuru akitazama nje ya kiwanja angali wachezaji wenzake wakipambana kiwanjani bwa pili ni mshabiki wao Yusuphu Shabani. |
|
Kulia ni Raisi wa chuo hico George Silang akifwatiwa na waziri wa elimu Denisi Kanzezele na wa mwisho ni Dassani Jeremia |