Alie simama ndie mwimbaji huyo akiwa darasani na wanafunzi wenzake. |
Mwimbaji huyo ambae ni marufu kwa Led G kwa jina kamili Gundelinda Kimbi amepata nafasi hiyo baada ya kuimba vizuri kwenye uzinduzi wa alibamu ya Goodwilly.
Kukatika kwa umeme ndiko kuliko muokoa kwani wakati mafundi mitambo wakihahah kutafuta jenereta ndipo alipo amua kutua kwenye stage na kuanza kuimba.
Baada ya kuonesha uwezo mzuri waandaji wa tamasha waliamua kumpa tuzo hiyo ya kurekodi nyimbo zake bure.
Tamasha hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa chuo hicho na kuudhuriwa na wageni na waimbaji mbalimbali kutoka hapa nchini.
Goodwilly aliizindua alubamu inayoitwa sitachoka kungoja ikiwa ni alubamu yake ya kwanza yenye nyimbo nane.
yupo nje yaa jengo la darasa akitafakari jambo kwa umakini. |