Mugabe ataka vikwazo viondoshwe


Mugabe katika mkutano wa SADC nchini Malawi
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amezionya Marekani na Uingereza ziondoshe vikwazo dhidi ya nchi yake, ama sivyo Zimbabwe www.hakileo.blogspot.comitalipiza kisasi.
Alisema hatua zao ni sawa na kusimbuliwa, na alisema wakati utafika kwa Zimbabwe kuchukua hatua za kujibu.
Bwana Mugabe alisema hayo katika mazishi ya afisa wa jeshi la wanahewa.
Na juma lilopita viongozi wa SADC walipokutana Malawi walisema vikwazo vyote dhidi ya Zimbabwe sasa vinafaa kuondolewa baada ya ule waliosema, uchaguzi uliokuwa huru na wa amani.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company