![]() |
Kikosi cha timu ya mpira wa pete cha AJTC kiitwacho AJTC QUEN. |
Jana katika michuano ya TASWA timu hii iligonga mwamba baada ya kutolewa na Timu ya TASWA ya Dar es salaam.Timu hiyo iligubikwa na malala miko makubwa hususani kutoka kwa ATC QUEN walio dai ya kwamba wachezaji wale walikuwa ni mamluki wakimaanisha
wakukodiwa.
wakukodiwa.
Kwa muendelezo wa habari hii na picha nyingi za mashindano ya jana ambayo pia yalihusisha mpira wa miguu tafadhali tembelea blogu hii majira ya leo jioni pia utajua wachezaji watatu ambao tayari wamekwisha pata ulaji.