Mary Robinson asisitiza amani ipatikane Congo

Mwakilishi wa UN kwa eneo la maziwa makuu Mary Robinson (R) na mwakilishi maalumu wa UN kwa Congo, Martin Kobler wakiwa Goma, Sept. 2, 2013.
Mwakilishi wa UN kwa eneo la maziwa makuu Mary Robinson (R) na mwakilishi maalumu wa UN kwa Congo, Martin Kobler wakiwa Goma, WWW.HAKILEO.BLOGSPOT.COM
Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa eneo la maziwa makuu barani Afrika, bi. Mary Robinson yupo Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kujionea hali halisi ya mapigano kati ya kundi la waasi wa M23 na serikali ya Congo na kuwashawishi waasi kuweka silaha chini ili kuweza kurejesha hali ya amani katika ene
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company