Rais Barack Obama wa Marekani amesema leo kuwa ametiwa moyo na mazungumzo na viongozi wengine kuhusu njia ya kijibu shambulio la silaha za kemikali nchini Syria na anapanga kueleza juu ya nini anachotaka kukifanya wakati akizungumza na Wamarekani katika hotuba atakayoitoa siku ya Jumanne. Obama amewaambia waandishi habari mwishoni mwa mkutano wa kundi la mataifa ya G20 kuwa yeye pamoja na viongozi wengine wameweza kutoa mawazo yao juu ya suala hilo na kwamba kuna hali ya kutambua kuwa dunia haiwezi kukaa kimya.www.hakileo.blogspot.com
Ameongeza kuwa mataifa mengi yatatoa taarifa kuhusiana na misimamo yao , lakini hakusema iwapo kuna taifa moja maalum ambalo limejiunga na msimamo wa Ufaransa wa kuunga mkono hatua yake ya kuishambulia kijeshi Syria.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
tabasamu leo
-
[image: MICHEZO ,BURUDANI , INJILI]
Hutoa habari za aina mbali mbali ikiwemo habari za:
HABARI
- *MICHEZO*
- *BURUDANI*
- *INJILI*
*Haki hai...
KIJANA AUAWA KATIKA MZOZO WA MAPENZI
-
Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha
tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu.
Tukio hilo lilifanyika siku ya...
Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari
-
Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo.
Picha ya Maktaba.
Na Hadija Jumanne, Mwananchi
Jana ilikuwa siku ya Saratani Dun...