UPEPO MKALI WAEZUA PAA LA SHULE YA MSINGI LUGANGA



Wanafunzi wa shule ya msingi Luganga kata ya Ilolompya Tarafa ya Pawaga Mkoa wa Iringa, wakiangalia sehemu ya paa la chumba cha darasa lililo ezuliwa na upepo mkali hivi karibuni.



Nyumba ya Mwalimu



Wanafunzi wa Shule ya Msingi Luganga wakicheza nje ya Darasa lililo ezuliwa



Wanafunzi Shule ya msingi Luganga wakiendelea na Masomo ndani ya Darasa lililo ezuliwa na Upepo mkali hivi karibuni,Picha na Said Ng'amilo.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company