POLENI A.J.T.C; MWANAFUNZI LED GAGA APATA AJALI

Wakwanza kushoto (aliyeva miwani) ni GUNDELINDA KIMBI miezi michache kabla ya kupata ajali leo akiwa katika michezo,picha na makitaba
 MWANAFUNZI WA CHUO CHA AJTC GUNDELINDA KIMBI MAARUFU KAMA "LED GAGA" AMEPATA AJALI LEO ASUBUHI KWA KUGONGWA NA BODA BODA ENEO LA MBAUDA HAPA MKOANI ARUSHA.
KWA HIVI SASA AMELAZWA KATIKA HOSIPITALI YA MT. MERU NA DURU ZETU ZA HABARI ZINAELEZA YA KWAMBA AMEUMIA SEHEMU ZA USONI  NA HUENDA BEGA LAKE LIKAWA LIMEDHURIKA VIBAYA ZAIDI.
LED GAGA ALIKUWA AKITOKEA SEHEMU ALIYODAI NI KWA DADA YAKE NA GAFULA AKIWA KATIKA ENEO LA MBADA MWENDESHA PIKIPIKI AKAMVAMIA NA KUMGONGA.
MARA BAADA YA TUKIO HILO DEREVA HUYO AMETOKOMEA KUSIKO JULIKANA.
LED GAGA PIA AMEPOTEZA SIMU YAKE YA MKONONI MARA BAADA YA MTU ALIYE ITWAA KUFIKISHA UJUMBE KWA NDUGU NA WANAFUNZI WA CHUO KUHUSU AJALI HIYO NA KUTOWEKA NAYO.
 PIA AMEPOTEZA FEDHA,KIWANGO CHA FEDHA NA DHAMANI YA SIMU BADO HAVIJA JULIKA.
BLOGU HII ITAENDELEA KUKUJUZA ZAIDI KUHUSUANA NA HALI YA MAJERUHI.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company