BONDIA WA THAILAND ATUA DAR KUZIPIGA NA MIYEYUSHO JUMAPILI PTA

Bondia kutoka Thailand, Sukkasem Kokieyongyuth kushoto baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tayari kwa pambano la kimataifa dhidi ya Mtanzania, Francis Miyeyusho Jumapili wiki hii ukumbi wa PTA, Sababa mjini Dar es Salaam. Wengine kulia ni wadau wa ndondi Agapita Mnazaleti kulia na Rajab Mohamed 'Danger Boy' katikati.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company