
Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wamenyong'onyea baada ya Ruvu Shooting kuchapwa mabao 3-0 na Azam FC jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. Yanga iliiombea Azam ifungwe ili wapate nafasi ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Lakini dua lakuku halikumpata mwewe.

Mashabiki wa Yanga SC waliingia kwa mbwembwe wakiamini Ruvu itawasaidia kumsimamisha Azam

Hapa jamaa wanamtukana refa, wakidai anaibeba Azam
