
Nje: Kipa wa Chelsea, Petr Cech akisaidiwa kutoka nje baada ya kuumia dakika ya 17 katika Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja wa Vicente Calderon. Timu hizo zilitoka 0-0. Nafasi ya Cech ilichukuliwa na Schwarzer aliyemalizia mcheo vizuri.
Yalaaa! Raul Garcia akimvagaa Petr Cech na kipa huyo Chelsea aliumia na kushindwa kuendelea na mchezo
CHANZO BIN ZUBBERY