TAZAMA MATUKIO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA KATIKA PICHA KUTOKA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika eneo la Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Goodluck Joseph Ole-Medeye akitoa mchango wake akiwasilisha katika Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wakifuatilia mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kushoto mstari wa kwanza) wakijadiliana kitu leo mjini Dodoma na Wajumbe wa Bunge hilo Mwingulu Nchemba(katikati) na Dkt. Asha-Rose Migoro(kulia) wakati wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kushoto ), Makamu wake Samia Suluhu Hassan( wa pili kulia) , Mjumbe wa Bunge hilo Adam Malima(kulia) na Mwandishi wa Kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha , Minael-Hosanna O. Mdundo(wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwakabidhi nakala ya kitabu hicho viongozi hao leo mjini Dodoma.
Mwandishi wa Kitabu cha Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha , Minael-Hosanna O. Mdundo( kulia) akimkabidhi nakala ya Kitabu chake Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) leo mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wake Samia Suluhu Hassan.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akisalimiana na baadhi ya wajumbe na wadau mbalimbali leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mjadala wa sura ya kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya. Picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company