Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea. Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa juma pili iliyopita katika kanisa la FGBF Dar es salaam
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago