Mkali wa Muziki wa HipHop hapa Bongo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Kipi Sijasiki Prof Jay na Mkali kutoka Uganda ambae anafanya vizuri kwa sasa na wimbo wa Tubonge Jese Chameleon, Baada ya kukuta wanafanya kazi nyingine ya pamoja na muda si mrefu utaisikia.

