Vidic, ambaye anaondoka United, katika mchezo wa mwisho alipewa pogo na Lambert katika harakati za kuokoa.
Kufuatia pogo hilo, mpira ukaenda kwa Steven Davis, ambaye alimtengenezea Lambert nafasi ya kufunga.

Damu tupu: Nemanja Vidic (katikati) akilalamika kwa refa Mike Dean baada ya kupewa pigo na Rickie Lambert hadi kutokwa damu
Danny Welbeck akimtazama kwa huruma Vidic anayejifuta damua
