TASWIRA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:KIKAO CHA PILI CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MWAKA 2014/2015


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil watatu kutoka kushoto akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mwamini Malemi wa pili kutoka kushoto pamoja na Viongozi wa Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo wa pili kutoka kulia Amani Mashaka Katibu wa Baraza hilo na wa kwanza kutoka kulia Ndugu Jenitha Ndone ambaye ni Katibu Msaidizi wa Baraza hilo pia, wakiimba pamoja na wajumbe wengine (hawapo pichani ) wimbo wa ‘Mshikamo Pamoja’ katika kikao cha pili cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kwenye Ukumbi wa Police Officer’s Mess jijini Dar es Salaam kikao kilichoketi jana kujadili utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2014/2015 na Malengo ya mwaka 2015/2016.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil watatu kutoka kushoto aliyeketi akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mwamini Malemi watatu kutoka kulia pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo wa kwanza kutoka kushoto walioketi ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pius Nyambacha, wapili kutoka kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)Ernest Mangu wa pili kutoka kulia ni Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza John Minja kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza hilo waliposhiriki kikao cha pili cha Baraza la Wafanyakazi wizara hiyo kwenye Ukumbi wa Police Officer’s Mess jijini Dar es Salaam kikao kilichoketi jana kujadili utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2014/2015 na Malengo ya mwaka 2015/2016.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil katikati akifurahia jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)Ernest Mangu wa kwanza kutoka kulia na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo wakati aliposhiriki Kikao cha pili cha Baraza la Wafanyakazi la wizara hiyo kwenye Ukumbi wa Police Officer’s Mess jijini Dar es Salaam kikao kilichoketi jana kujadili utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2014/2015 na Malengo ya mwaka 2015/2016.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili kutoka kushoto akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mwamini Malemi wa kwanza kutoka kushoto pamoja na Viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wajumbe wengine wa Baraza hilo wakielekea kwenye ukumbi wa Police Officer’s Mess jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua kikao hicho kilichoketi jana kujadili utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2014/2015 na Malengo ya mwaka 2015/2016.Picha na Christina Mwangosi-Wizara ya Mambo ya Ndani ya NCHI

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company