Akizungumza na Kituo hiki Samba amesema pia anatarajia kufunga ndoa kanisani hapo mwezi wa 6 tarehe 6 namo mwaka huu.
Ikumbukwe pia Oscar Samba amekwisha kutangaza nia yakugombania kiti cha ubunge kwenye jimbo la Rombo mkoania Kilimanjaro
Tazama Picha za tukio hilo..
Kushoto ni Oscar Samba na Mchumba wake Anna Samweli wakifurahia jambo kutoka kwa Mchungaji wao Aloice Mbungi wakati wa kumvalisha pete mchumba wake. |
Wachumba wakisikiliza ajmbo kwa Mchungaji wao |
Mch. Aloice Mbughi Akiteta na wachumba Oscar Samba na Anna Samweli |
Kwa umakini kabisa Oscar Samba na Anna Samweli wanasikiliza mahusia ya mchungaji |
Oscar akimuonesha Mchungaji pete ya uchumba |
Wapendao wakishikana mkono baada ya kumvisha pete |
Oscar akitaka kumkumbatia ampendae na ghafula mchungaji anmzuia na kumwambia wakati bado. |
Anna (ANNA OSCAR SAMBA ) akimkabithi mchumba wake zawadi |
Mchungaji akiwataka vijana wake wapige magoti kwa ajili ya maombezi. |
Kabala ya sala ni mahusia kwanza |
Oscar na kisura wake |
Tafakari ya kina |
Mchungaji Aloice Mbughi akisisitiza jambo wakati wa kutangaza uhumba. |
Baada ya kupokea zawadi. |
Nifuraha na pozi la aina yake. |
Kisura wa Osca akiwa ndani ya zawadi |
Ni pozi za furaha,. |
Tabasamu mwanana la wapendanao |
Ni wachumba Oscar na Anna wakiwa katika picha ya ya pamoja na viongozi wa vijan akanisani kwao. |
Pozi la uchokozi na viongozi wa vijana |
Aliopo kulia ni Baba mzazi na mchungaji wa Anna yaani mzee Samweli. |
Utulivu ni muhimu mbele ya Mkwe. |
Huwa furaha haijifichagi |
Kushoto ni Mzee wa kanisa Andrea Laiza akiwa na vijana wake |
Ni picha uya pamoja na viongozi wa wanaume kanisani. |
Mng'ao katika sura unaoosadifu ya mioyoni |
Kulia ni Mama Mch. Catherini Mbughi akiwa na binti yake huku kijana wake wakiume akimnongoneza jambo Mchungaji wake. |
Ni TABASAMU TUU |
Mchungaji akimpa majibu mwane. |
Hii nayo nisehemu iwakilishayo furaha |
Wakiwa na viongozi wakwaya |
Pozi na viongozi wa wanawake kanisani. |