ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, ZAMU YA WANANCHI WA WETE, PEMBA

SHEHA wa shehia ya Kipangani Ali Said Hamad akifungua mkutano wa kuelimisha katiba inayopendekezwa, ulioandaliwa na Kituo cha Hudma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, kulia ni Hakimu wa Mahakama ya Ardhi mkoa kusini Pemba Salim Hassan Bakar na kushoto ni Mratibu wa ZLSC Fatma Khamis Hemed.



MWANASHERIA wa serikali Albaghir Yakout Juma, akitoa ufafanuzi wa Katiba inayopendekezwa mbele ya wananchi wa wilaya ya wete Pemba, mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambao uliofanyika Jamhuri Hall wete Pemba



MMOJA wa wananchi wa wilaya ya Wete akitaka ufafanuzi wa Ibara ya 97 juu ya 'Bunge kumshitaki rais' kwenye katiba inyopendekezwa, wakati Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC walipofika kutoa elimu ya katiba hiyo kwa wananchi gazi ya wilaya. Picha na Haji Nassor, Pemba
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company