Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi, CUF, Profesa Ibrahim Lupumba amejiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwa madai kuwa UKAWA wameshindwa kusimamia makubaliano waliyokuwa wameyafikia.
Lipumba ametangaza uamuzi huo LEO Mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam na kusema yeye atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa CUF.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago