JESHI la Polisi mkoani MANYARA, limevipiga marufuku vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu kutumia
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa MANYARA, CHRISTOPHER FUIME
JESHI la Polisi mkoani MANYARA, limevipiga marufuku vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu kutumia vikundi vya ulinzi binafsi vilivyoanzishwa na vyama hivyo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa MANYARA, CHRISTOPHER FUIME, amesema kuwa matumizi ya vikundi vya ulinzi vya vyama ni uvunjifu wa sheria za nchi na ameonya kuvichukulia hatua kali za kisheria vyama vitakavyo kiuka katazo hilo.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago