Vyama vyote vilivyosimamisha wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeridhia usahihi wa matokeo ya Urais isipokuwa CHAUMMA na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Hivi sasa wawakilishi wa vyama hivyo vilivyoridhia wanasaini fomu maalumu kuridhia matokeo hayo.
CHADEMA hakikuwakilishwa katika kikao cha kuridhia matokeo wakati mwakilishi wa CHAUMMA aliyekuwepo kikaoni amekataa kutia saini.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago