Larijani: Iran ipo tayari kutatua kadhia ya nyuklia haraka


Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran Dakta Ali Larijani kwa mara nyingine tena amekumbusha haki ya nchi yake ya kurutubisha urani kwa malengo ya amani na kusisitiza kuwa Tehran iko tayari na ina azma thabiti ya kutatua kadhia ya nyuklia katika kipindi kifupi.
Dakta Larijani pia amesema, Iran inaweza kuzihakikishia Marekani na nchi nyingine zinazodai kwamba ina nia ya kutengeneza bomu la atomiki kwamba hilo si lengo lake. Ameongeza kuwa, nchi za Magharibi zinapaswa kutambua rasmi haki ya Iran ya kurutubisha urani kwa ajili ya matumizi ya kiraia kwa mujibu wa mkataba wa NPT ambao imeusainiwww.hakileo.blogspot.com.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company