Ajali hiyo imetokea huko Tanga usiku huu, kwa mujibu wa Mwandishi wa itv Wiliamu amesema kuwa lori hilo lilikuwa kwenye matengenezo na hakukuwa na alama yeyote iliyopaswa kuashiria matengenezo hayo.
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTUFWATILIA.
www.hakileo.blogspot.com
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
