Hatukamatiki: Wachezaji wa Atletico Madrid wakishangilia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji Valencia leo, bao pekee la Raul Garcia dakika ya 43, unaowafanya waeongoze La Liga iliyofikia ukingoni kwa pointi sita zaidi.

+10

+10
Nyota wa Atletico Madrid, Raul Garcia akishangilia bao lake pekee