CHANZO sufianimafoto.com
Habari zilizotufikia muda huu kutoka maeneo ya Mbagala, zinasema kuwa kijana mmoja anayedaiwa kuwa ni kibaka ameuawa na watu wenye hasira kali baada ya kukamatwa alipokuwa katika harakati za kuiba. Haikuweza kufahamika kuwa alikuwa akiiba nini.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago