Toure alimtengenezea nafasi ya kufungta bao la kwanza Edin Dzeko dakika ya nne ambalo linakuwa bao lake la 24, kabla ya yeye mwenyewe kufunga bao lake la 23 msimu huu dakika ya 43.
City inabaki nafasi ya tatu sasa ikiwa inazidiwa pointi tatu na vinara Liverpool na pointi moja Cheslea iliyo nafasi ya pili.
