ONA JINSI BOSS GIGSS ALIVYOANZA KAZI JANA OLD TRAFFORD,MASHABIKI WAPAGAWA


Kipenzi cha mashabiki: Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs akiwapigia makofi mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada ya kuiwezesha timu kushinda mabao 4-0 jana dhidi ya Norwich City katika mechi ya Ligi Kuu England ambayo ilikuwa ya kwanza tangu arithi mikoba ya David Moyes aliyefukuzwa wiki hii.


Furaha imerudi: Ushindi huo umeisogeza United jirani na Tottenham inayoshika nafasi ya sita


Maarufu: Kocha mpta wa Manchester United akisaini autographs za mashabiki Uwanja wa Old Trafford


Dream Team: Giggs akiwa ameketi na Wasaidizi wake, Nicky Butt, Paul Scholes na Phil Neville



Tunamuamini Giggsy: Mabango ya kumtukuza Giggs

Hivi ndivyo Giggs alipokewa

Wayne Rooney alifunga bao la kwanza kwa penalti



Danny Welbeck ndiye aliyeangushwa kwenye eneo la hatari na Steven Whittaker



Rooney alimchambua vizuri kipa wa Norwich, John Ruddy aliyechupa upande tofauti na ulipokwenda mpira

Juan Mata alitokea benchi na kufunga mabao mawili




+27

Ushindi wa 4-0 ulikuwa mkubwa zaidi kwa United katika mechi za nyumbani, ambao timu hiyo haikuwahi kuupata chini ya David Moyes Uwanja wa Old Trafford
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company