Cristiano Ronaldo alifunga bao la kwanza dakika ya sita kwa pasi ya Angel di Maria kabla ya kuongeza la pili dakika ya 52 kwa pasi ya Isco na Sergio Ramos akafunga la tatu dakika ya 60 kwa pasi ya di Maria kabla ya Daniel Carvajal kufunga la nne dakika ya 83 pasi ya Isco.
Ushindi huo, unaifanya Real itimize pointi 82 baada ya kucheza mechi 34 na inaendelea kukamata nafasi ya pili nyuma ya vinara Atletico Madrid wenye pointi 85 za mechi 34, wakati Barcelona yenye pointi 81 za mechi 34 pia ni ya tatu.
Mfalme; Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga usiku huu, Real Madrid ikiichapa 4-0 Osasuna
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2613974/Real-Madrid-4-0-Osasuna-Ronaldo-continues-return-Real-pressure-Atletico-Bale-misses-out.html#ixzz307JXOAkz