WAVUVI KIBIRIZI MKOANI KIGOMA WATOA KILIO CHA KERO ZA KODI NA LESENI KWA KINANA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma bango lenye ujumbe wa kulalamikia kodi kubwa wanazotozwa wavuvi wadogowadogo wa Kibirizi,Kigoma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubianwakazi wa Kibirizi mkoani Kigoma ambao wanakilio cha kutozwa kodi kubwa, kuvamiwa na majambazi wakati wa uvuvi.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mawazo Rashid Mawalan mkazi wa Ujiji Kigoma ,Katibu Mkuu alikuwa akitembea kwenye njia iliyotumika na Watumwa ambapo kuna miembe yenye umri zaidi ya miaka 150.


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mzee Masoud Mwinyi Chande kwenye mnara wa kumbukumbu ya nyumba ya kwanza ambayo Mwalimu Julius Nyerere alifikia Ujiji wakati akifanya harakati za kutafuta Uhuru, Nyumba hiyo inasemekana Mwalimu Nyerere alifika akiongozana na Suleiman Takadili na Bibi Titi Mohamed.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company