Watu 2 wamepoteza maisha huko mkoani mtwara katika makabiliano na vikosi vyakutuliza ghasia,watu hao inasadika ya kwamba ni madereva wapiki piki alimarufu kama boda boda,pia nyumba za mbunge waeneo hilo pamoja na wa mbunge wa viti mmalumu CUF zimeteketezwa kwa moto,
jitiada za kumtafuta kamnda wapolisi mkoani hapo zinaendelea na ikumbukwe pia huko mkoni morogoro fujo zinaendelea.
jitiada za kumtafuta kamnda wapolisi mkoani hapo zinaendelea na ikumbukwe pia huko mkoni morogoro fujo zinaendelea.