PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEM SAJUKI

Alievalia kanzu ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kasikazini [CHADEMA] Zito kabwe akielekezwa sehemu ya kuketi na moja ya wanakamati ya mazishi.




Msani wa vichekesho wa kundi la Ok. Emmanueli Mgaya {Masanja}\katikati\akibofia simu pamoja  kwenye mazishi hayo.
Anonymous said...

kinyaaa nyie wasanii mnaenda kumzika mwenzenu mkiwa mnasikiliza miziki,si bora mngebakia nyumbani
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company