Msanii rapper kutoka Arusha, maarufu kama Joh Makini Mwamba wa kaskazini baada ya kufanya vizuri mwaka jana katika tasnia hii ya muziki wa Bongo Fleva,mwaka huu amejipanga vema na siku za hivi karibuni anatarajia kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la KI-UTU-UZIMA.Kaa tayari kwa uji huo mpya kutoka kwa Joh Makini. .
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
